Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 473 | Umetazamwa mara 1,904
Download Nota Download MidiNinaiona Paradiso ae, Paradiso ya mbinguni ambayo Bwana amewawekea, wateule taji la ushindi x2
1.Ni matendo matendo mema na Imani thabiti, itakayo nifikisha kwenye Paradisho ya mbinguni.
2.Ndugu yangu mpendwa wangu tafakari moyoni, njia zako upitazo zinampendeza Mungu wako?
3.Tukimpenda Mungu wetu nakupenda wenzetu, kuwajali wahitaji tutaifikia Paradiso.
4.Hivyo Paradiso wamewekewa watendao matendo mema, kaza mwendo ndugu tuifikie tukafurahi nao Malaika.