Ingia / Jisajili

Wewe Bwana Nguvu zangu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 951 | Umetazamwa mara 2,626

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

{Wewe Bwana nguvu zangu nakupenda sana, Wewe Bwana nguvu zangu nakupenda sana x2 Bwana ni jabali jabali langu na boma langu na Mwokozi wangu, Mungu wangu mwamba wangu ninayemkimbilia x2}

Mashairi:

  • 1.Bwana ndiye aliyehai na atukuzwe Mungu wa wokovu wangu (ampa mfalme wake wokovu mkuu, amfanyia                                                                                                                    fadhili masiha wake x2)
  • 2.Bwana ni jabali langu Mungu wangu mwamba wangu ninayemkimbilia, (Ngao yangu na pembe ya wokovu                                                                                                                                    wangu ya wokovu wangu, Ngao yangu                                                                                                                                     na pembe ya wokovu wangu ya wokovu                                                                                                                                      wangu x2)
    3.Nitamwita Bwana anayestahili kusifiwa, Nitamwita Bwana anayestahili kusifiwa hivyo nitaokoka na aadui zangu,     hivyo nitaokoka na aadui zangu.

Maoni - Toa Maoni

Manzi henry Oct 26, 2021
Kanzi nzuri sana

Toa Maoni yako hapa