Ingia / Jisajili

Mbele Ya Miungu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,176 | Umetazamwa mara 10,402

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 5 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mbele ya miungu nitakuimbia nitakuimbia zaburi x 2

 1. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, mbele ya miungu mbele ya miungu nitakuimbia, nitakuimbia zaburi.
   
 2. Nitasujudu nikilikabili, hekalu lako takatifu, nitalishukuru jina lako, nitalishukuru jina lako.
   
 3. Nitalishukuru jina lako, kwa ajili ya fadhili zako, na uaminifu wako na uaminifu wako.
   
 4. Kwa maana umeikuza, ahadi yako, kuliko jina lako lote, kuliko jina lako lote.
   
 5. Siku ile niliyokuita, uliniitikia, ukanifariji nafsi, kwa kunitia nguvu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa