Ingia / Jisajili

Tazama Anakuja

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Epifania | Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 259 | Umetazamwa mara 335

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Epifania

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama anakuja mtawala Bwana X2

Mwenye ufalme mkononi mwake mkononi mwake (na uweza na uweza na uweza na uweza na enzi) X2

1. Mwenye ufalme mkononi mwenye ufalme mkononi mwake mwenye enzi enzi na utawala

2. Ee Mungu mpe mfalme mpe mfalme hukumu zako na mwana wa mfalme haki haki yake

3. Atawaamua watu wako kwa haki na watu wako walioonewa kwa hukumu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa