Ingia / Jisajili

Mbona Macho Juu

Mtunzi: Fr. Joseph Sekija
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Joseph Sekija

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 698 | Umetazamwa mara 2,600

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Enyi watu wa Galilaya mbona macho juu, Enyi watu wa Galilaya mbona mwashangaa 
(mlivyo mwona akienda mbinguni hivyo ndivyo atakavyo rudi tena aleluya.) x 2

  1. Wao walipo kuwa wakitazama mbinguni, wingu likashuka likampokea.
     
  2. Malaika kasema Yesu yuaja tena, kama mlivyo mwona akiondoka.
     
  3. Na hii nyie nendeni enendeni duniani, wafanyeni wote wanafunzi wangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa