Ingia / Jisajili

Mema Umetujalia

Mtunzi: Stanslaus Mujwahuki
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Mujwahuki

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 3,653 | Umetazamwa mara 8,668

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mema umetujalia kutoka mbinguni (Yesu) mwana wa Maria, tunakushukuru x 2

  1. Ulijifanya mtu ili utukomboe, ukafa msalabani tunakushukuru
  2. Njia ya mbinguni ulitufungulia, ulitukomboa tunakushukuru
  3. Tunapopata shida za roho na mwili ndiwe kimbilio tunakushukuru
  4. Unatuvumilia tunapopotea, tunapokurudia uwe ni tulizo

Maoni - Toa Maoni

Stanslaus mwanisawa Apr 30, 2018
Naomba kutumiwa wimbo wa Mema umetujalia kutoka mbinguni

sadiki May 23, 2017
wimbo mzuri sana

Joachim Anatoly Dec 09, 2016
Mtunzi huyu ni zaidi ya mtunzi anajua kutunga. Hongera pia kwa Baba Mukasa

Toa Maoni yako hapa