Ingia / Jisajili

Nimeongea Na Yesu

Mtunzi: Elias Majaliwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias Majaliwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,133 | Umetazamwa mara 8,326

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

aloyce rutaseka rwiza Mar 25, 2018
Mheshiwa tunakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya mungu akuzdishie kipaji chako kiwe mara dufu lakin tunaomba beti la kwanza wimbo wa nimeongea na yesu ili wimbo ukamilike asante

Fadhil Daud Sep 27, 2017
Hongera saana kwa kazi nzuri mwenyezi Mungu akuzidishie nguvu na akili ya kuweza kufanya kazi yake vizuri zaidii

Johanness mhoja Nov 16, 2016
Mheshimiwa Majaliwa wimbo huu NIMEONGEA NA YESU hauna mashairi kabla hatujaimba CODA?

claudius linus Aug 09, 2016
Nakupongeza boss wetu wa smn kwa kazi ya ajabu unayo ifanya mungu akujalie afya njema na azidi kukulinda mimi sijawahi kuchangia lakini najipanga nitanchangia kwani harusi huwa tunangia sana itakuwa huduma hii ya ukweli na washauri members wezangu tusiwe wagumu walio changia wachache sana ni heri zaidi kutoa kuliko kupokea.

Toa Maoni yako hapa