Ingia / Jisajili

MWIMBIENI MUNGU NGUVU ZETU NYIMBO ZA FURAHA

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 439 | Umetazamwa mara 1,565

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Mwimbieni Mungu nguvu zetu nyimbo za furaha, mwimbieni Mungu nguvu zetu, mwimbieni nyimbo za furaha, mwimbieni Mungu nguvu zetu nyimbo za furaha. 1.Pazeni zaburi, pigeni matari, kinubi chenye sauti nzuri na kinanda, pigeni panda mwandamo wa mwezi, wakati wa mbalamwezi sikukuu yetu. 2.Kwa maana ni sheria kwa Israeli, ni hukumu ya Mungu Mungu wa yakobo, aliamuru iwe ushuhuda katika yusufu, alipoondoka juu ya nchi ya Misri. 3.Maneno yake nisiyemjua niliyasikia, nimelitenga bega lake na mzigo, mikono yake ikaachana na kikapu, katika shida uliniita nikakuokoa. 4.Usiwe na mungu mgeni ndani yako, wala usimsujudie mungu mwingine, mimi ndimi Bwana Bwana Mungu wako, niliyekupandisha toka nchi ya misri.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa