Ingia / Jisajili

Tubadili Mwenendo Wetu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1,256 | Umetazamwa mara 3,534

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tubadili mwenendo wetu kwa majivu na gunia tfunge na kulia mbele za Bwana kwa maana Mungu (wetu) ni mwingi wa rehema naye atatusamehe dhambi zetu X2

1. Mwanadamu kumbuka kuwa u mavumbi wewe na mavumbini utarudi

2. Sikia Ee Bwana uturehemu sisi kwa kuwa tumetenda dhambi

3. Nirudieni mimi nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote

4. Rarueni mioyo mioyo yenu wala si mavazi yenu

5. Ee Bwana unitakase dhambi zangu Ee Mungu unirehemu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa