Ingia / Jisajili

Mwanangu, Kufanya Furaha Na Shangwe Ilipasa

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 154 | Umetazamwa mara 537

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mwanangu kufanya furaha na shangwe ilipasa kwa kuwa huyu ndugu yako alikuwa amekufa naye amefufuka alikuwa amepotea naye ameonekana X2

1. Mwanangu wewe u pamoja nami siku zote na vyote nilivyonavyo ni vyako

2. Nitaondoka nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia Baba nimekosa juu ya mbingu na mbele yako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa