Ingia / Jisajili

Aketiye Mahali Pa Siri

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 248 | Umetazamwa mara 955

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Aketiye mahali pa siri pake aliye juu atakaa katika uvuli wake Mwenyezi X2

Nitasema Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu Mungu wangu nitakayemtumaini X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa