Mtunzi: Plus Nicholas
> Mfahamu Zaidi Plus Nicholas
> Tazama Nyimbo nyingine za Plus Nicholas
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Plus Nicholas
Umepakuliwa mara 429 | Umetazamwa mara 1,574
Download NotaMimi ndimi chakula mtu anifuataye hataona njaa kabisa na yeye aniaminiye hataona kiu kiu kamwe
1. Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika bali chakula kidumucho hata uzima wa milele
2.Chakula cha mungu ni kile kishukacho kutoka mbinguni na kuupa ulimwengu uzima wa milele