Mtunzi: Abraham .o. Okiro
> Mfahamu Zaidi Abraham .o. Okiro
> Tazama Nyimbo nyingine za Abraham .o. Okiro
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria | Miito
Umepakiwa na: Abraham Obwocha
Umepakuliwa mara 1,231 | Umetazamwa mara 4,266
Download Nota Download Midi(Mimi ndimi mtumishi wa Bwana, Mimi ndimi mtumishi wa Bwana, nitendewe unavyo sema, na iwe kwangu utakavyo sema)x2 1. Najua kwamba mimi mwenye dhambi, na dhambi zangu zimenilemea , unirehemu Bwana Unihurumie, nitendewe utakavyosema. 2. Mimi Ee Bwana kweli nimekuwa duni, kuliko mataifa yote ya ulimwengu,na kudhulumiwa katika ulimwengu, ni kwa sababu ya dhambi zang u nyingi. 3. Maneno yako Bwana yalionekana,name nikayala nikawa na furaha, na shangwe kubwa sana katika moyo wangu, vile niliitwa kwa jina lako wewe. 4. Ee Bwana Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka pia wa Israeli, Mungu na ijulikane katika Israeli, ya kuwa mimi ni mtumishi wako.