Mtunzi: Abraham .o. Okiro
> Mfahamu Zaidi Abraham .o. Okiro
> Tazama Nyimbo nyingine za Abraham .o. Okiro
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Abraham Obwocha
Umepakuliwa mara 161 | Umetazamwa mara 1,323
Download Nota Download MidiTUBUNI ASEMA
(Tubuni anasema Bwana wenu)X2 (kwa maana hamjui siku wala saa atakayekuja Bwana wenu)X2
1.Mtu angejua siku mwizi angekuja angekesha na kungoja mwizi hasiibe.
2.Ufalme wa mbinguni umekaribia kwani huyo ndiye alinenwa ya nabii Isaya
3Tengenezeni njia yake Bwana wa majeshi, yanyosheni na mapito yake Bwana apite.
4.Basi, jiangalieni, mioyoni mwenu isije ikalemewa na ulafi.
5.Basi kesheni mkiomba kila wakati, ili mpate kuokoka katika hayo.