Mtunzi: Abraham .o. Okiro
> Mfahamu Zaidi Abraham .o. Okiro
> Tazama Nyimbo nyingine za Abraham .o. Okiro
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito
Umepakiwa na: Abraham Obwocha
Umepakuliwa mara 379 | Umetazamwa mara 1,626
Download Nota Download MidiUPENDO ULE WA KWELI
Naomba unipe upendo naomba unipe amani naomba unipe hekima vyote Bwana mimi naomba
(Upendo) hauna chuki (kweli upendo) hauna wivu kweli hauna hata asira kweli upendo ule wa kweli
1.Ili wote niwapende, wale Bwana umenipa, niwagawie mapendo, kama wewe umenipenda.
2.Niwapa-tanishe wote, wale wote wagombanao, nilete na mwanga wako, panapo enea giza.
3.Wale wamedharauliwa, Bwana ni wape moyo, pia wale wenye uzuni, niwape matumaini.