Ingia / Jisajili

Hakuna Aliye Sawa Na Mungu

Mtunzi: Abraham .o. Okiro
> Mfahamu Zaidi Abraham .o. Okiro
> Tazama Nyimbo nyingine za Abraham .o. Okiro

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Abraham Obwocha

Umepakuliwa mara 1,297 | Umetazamwa mara 4,030

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Katika ufalme wa mbinguni hakuna aliye sawa naye Mungu wetu aketiye mahali pake (patakatifu) anayetutendea mengi makuu ya ajabu (kweli ndugu) basi yatupasa tumshukuru)x2
 
1.Ardhi yarutubishwa na mvua zinyeshazo, angalieni mazao mema mashambani mwetu hiyo yote ni kazi yake Mungu
2.Kazi yake Mungu kweli inaogovya, hata watoto wanazaliwa na kuwa na afya, hayo yote mapenzi yake Mungu
3.Ka-zi yake Mungu kweli niya kutisha safarini tuko salama bila misukosuko, hayo yote mapenzi yake Mungu
 

Maoni - Toa Maoni

May 10, 2016
Nampongeza mtunzi wa wimbo huu, ameonyesha ukomavu katika harmony pamoja na tafakari ya kina mpaka kuandika maneno hayo mazito ya kumtukuza Mungu. Wito kwa watunzi mnaochipukia msikurupuke kutunga kama hamjajipanga vizuri ktk taaluma hii.

Toa Maoni yako hapa