Mtunzi: Dr.vasco A Kapinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.vasco A Kapinga
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: VASCO.A. KAPINGA
Umepakuliwa mara 291 | Umetazamwa mara 1,130
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Bwana Yesu asema (hakuna awezaye kumfikia Baba ila kwanjia yangu mii hakuna)*2
(mimi ndimi,mimi ndimi,mimi ndimi uzima wamilele uzima wa milele,mimi ndimi uzima wamilele)*2
MASHAIRI
!.Yeye aulaye mwili wangu nakuinywa damu yangu, hukaa ndani yangu nami ndani yake.