Ingia / Jisajili

Ninadeni Kwa Mungu

Mtunzi: Dr.vasco A Kapinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.vasco A Kapinga

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: VASCO.A. KAPINGA

Umepakuliwa mara 398 | Umetazamwa mara 1,285

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Nikitafakari kuwepo hai mimi hata ni leo nimzima,

Nimiaka sasa imeshapita mingi mi nizaliwe duniani,

(Ninadeni kwake Mungu mimi nilitimize sio bure hadi leo hai sijayatimiza malengo yake)*2

 MASHAIRI

1.Ninajua Mungu we hupendi, nipotee

   Mpaka mwisho mi niwe ni wako, ni mbinguni

   Ndio maana wanipatia muda nijirekebishe.

2. Majukumu umenipatia, nitimize,,

Kwaajili ya uhai wangu nawenzangu,
ndiomaana wanipatia muda niyakamilishe.
 
3. Kama nimekuwa ni mtume,kwa wenzangu,,
wafaidike uwepo wangu, waokoke,
Ili siku Mungu ukinichukua nisiwe na deni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa