Ingia / Jisajili

Tutoe Sadaka Ya Kweli

Mtunzi: Dr.vasco A Kapinga
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.vasco A Kapinga

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: VASCO.A. KAPINGA

Umepakuliwa mara 579 | Umetazamwa mara 1,524

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Shairi 1.

Kadiri vile upatavyo, ndivyo utoe sadaka yako, kwa fungu la kipato ndio sadaka ya kweli

Kiitikio: Tutoe sadaka ya kweli yenye thamani zetu, Tutoe yenye kuwiana na kile tupatacho, hapo ndipo tutakuwa tume toa sadaka ya kweli,hapo ndipo tutazidishiwa thamani yetu milele.

mashairi mengine;

2. Sadaka ile(i-le-), iumayo(na), ndio sadaka(sadaka) ,yapokelewa
(kwakuwa), kwa kuwa hata kwako ilikufaa kitu
3. Makombo yale(ya-le-), ya chenji zako(we), sio sadaka
(sadaka), ipendezayo(kwakuwa), kwakuwa watoa usichokihitaji.
4. Baraka zake(za-ke-), Mungu mwenyezi(haa), zinafurika
(furika), kwajinsi ile(unavyo), unavyojitoa kwake kwa kumshukuru

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa