Ingia / Jisajili

Ee Bwana Unihukumu

Mtunzi: Gerald R. Mussa
> Mfahamu Zaidi Gerald R. Mussa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald R. Mussa

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Gerald Mussa

Umepakuliwa mara 743 | Umetazamwa mara 2,623

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

Ee Bwaba Bwana, unihukumu kwa taifa lisilo haki,uniokoe na mtu wa hila asiye haki. x2

  1. Kwa kuwa wewe ndiwe(ndiwe Mungu) ndiwe Mungu,ndiwe Mungu,ndiwe Mungu uliye Nguvu yangu
  2. Nimekukimbilia(wewe Bwana) wewe Bwana,wewe Bwana, wewe Bwana,Bwana nisiaibike milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa