Ingia / Jisajili

Shime Waamini Tulijenge Kanisa

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 280 | Umetazamwa mara 957

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Shime waamini) shime waamini tulijenge kanisa tutoe michango tufanye bidii tutoe michango tufanye bidii tuijenge nyumba ya Mungu wetu

1.Pandeni milimani mkalete miti mkaijenge nyumba nami nitaifurahia nami nitatukuzwa asema Bwana

2.Kanisa litajengwa na sisi wenyewe na sisi wenyewe kwani ndiyo nyumba ya Mungu kwani ndiyo nyumba ya Mungu wetu sisi sote

3.Waamini twedeni sote kwa pamoja na michango yetu kwa hali na mali tutoe kwa ukarimu tutoe tulijenge kanisa

Maoni - Toa Maoni

Diaz Sylvester Apr 04, 2022
Mwl wimbo uko poa sana.. heshima kwako sana..

Toa Maoni yako hapa