Ingia / Jisajili

Tazameni, Ni Pendo

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 31 | Umetazamwa mara 49

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazameni ni pendo ni pendo la namna alilotupa Baba (kwamba) tuitwe wana wa Mungu na ndivyo tulivyo X2

1. Kwa sababu ulimwengu haututambui kwa kuwa haukumtambua yeye

2. Wapenzi sasa tu wana wa Mungu wala haijadhihirika bado tutakavyokuwa

3. Lakini twajua ya kuwa atakapodhihirishwa tutafanana naye kwa maana tutamwona kama alivyo

4. Na kila mwenye matumaini haya katika yeye hujitakasa kama yeye alivyo mtakatifu

5. Kila atendaye dhambi afanya uasi kwa kuwa dhambi ni uasi uasi

6. Nanyi mnajua ya kuwa yeye alidhihirishwa ili aziondoe dhambi nayo haimo ndani yake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa