Mtunzi: Edward D. Challe
> Mfahamu Zaidi Edward D. Challe
> Tazama Nyimbo nyingine za Edward D. Challe
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Edward Challe
Umepakuliwa mara 1,995 | Umetazamwa mara 4,635
Download Nota Download Midi
Mfalme mtukufu apatekuingia x2
Yeye ndiye mfalme mfalme mtukufu,yeye ndiye mfalme mfalme mtukufu x2
1. Nchi na vyote vijazavyo ni mali ya Bwana, dunia na wote wakaao ndani yake.
2. Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
3. Fungukeni enyi malango ya kale ili mfalme mtukufu aingie.