Mtunzi:
> Tazama Nyimbo nyingine za
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Edward Challe
Umepakuliwa mara 859 | Umetazamwa mara 2,674
Download Nota Download MidiKiitikio
(Tangazieni) tangazieni tangazieni matendo yake,makuu kwa watu wote x2)
Shairi
1. Mwimbieni Mungu wi--mbo mpya,mwimbieni Mungu ulimwengu wote,mwimbieni Mungu na ku-lisifu jina lake.
2. Tangazeni kila siku ha-bari njema.tangazeni kila siku matendo yake,lisifuni jina tu-kufu la---- Mungu.
3. Yaambieni mataifa,yaambieni utukufu wake,atawahukumu watu kwa haki.