Ingia / Jisajili

Moyo wangu umekuambia

Maneno ya wimbo

Kiitikio..Moyo wangu umekuambia, uso wako nitafuta (Bwana) usinifiche uso wako/2

Shairi  1.Usijiepushe Bwana wangu,         (umekuwa msaada wangu usinitupe.

Shairi  ...2.Wala usijijtengee nami Bwana,     (Ee Mungu wa wokovu wangu usinitupe.

Shairi....3.Baba na mama wataniacha,      (Lakini wewe hutaniacha usinitupe.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa