Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 1,866 | Umetazamwa mara 5,031
Download Nota Download MidiKiitikio
Moyo wangu umekuambia Ee Bwana wangu, uso wako nitautafuta,
(Uso wako nitautafuta usinifiche-nifiche uso wako)x2
Mashairi
1.Umekuwa msaada wangu usinitupe, wala usiniache Mungu wa wokovu wangu.
2.Usikie dua yangu ninapokulilia, nikipainulia macho patakatifu.
3.Uniangalie mimi Bwana kwa wema, usinikatae Ee Bwana mtumishi wako.
4.Unifundishe Ee Bwana njia iliyo njema, usiwaache maadui wanishambulie.