Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Modest Tindegizile
Umepakuliwa mara 2,063 | Umetazamwa mara 5,995
Download NotaNALETA SADAKA YANGU Na: Modest Tindegizile
Kiitikio: Tazama Bwana ninaleta sadaka yangu (naileta) ninaileta mikononi mwako X2
Ni kazi, ni kazi ya mikono yangu (Ee Bwana) Ni jasho, ni jasho la mikono yangu, nakuomba Bwana upokee X2
Mashairi: 1. Ninaleta sadaka yangu kwako Bwana, nishukrani ya wema wako kwangu, nakusihi Mungu Baba pokea.
2. Ninaleta na nafsi yangu mbele yako, namaisha yangu natoa vyote,nibariki naunitakase.
3. Umenipa nguvu nikafanya kazi, nijasho la mikono yangu, sina budi nikakushukuru.