Ingia / Jisajili

MPENI BWANA UTUKUFU NA NGUVU

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 1,162 | Umetazamwa mara 3,605

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Mpeni Bwana, mpeni Bwana, mpeni Bwana utukufu na nguvu. 1.Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana nchi yote, wahubirini mataifa habari za utukufu wake, na watu wote habari za maajabu yake. 2.Kwa kuwa Bwana ni mkuu na mwenye kusifiwa sana na wa kuofiwa kuliko miungu yote ya watu, lakini Bwana ndiye aliye zifanya mbingu. 3.Mpeni Bwana jamaa za watu, mpeni utukufu na nguvu, mpeni Bwana utukufu na sifa vyote kwa jina lake, leteni sadaka mkiziingia nyua zake. 4.Mwabuuni Bwana kwa uzuri wa utakatifu, tetemekeni nchi yote semeni katika mataifa, Mungu ni mfalme atawahukumu kwa adili.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa