Ingia / Jisajili

WATU NA WAKUSHUKURU EE MUNGU Zaburi 66

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 926 | Umetazamwa mara 3,255

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
WATU NA WAKUSHUKURU Kiitikio: Watu na wakushukuru ee Mungu, watu wote na wakushukuru ee Mungu. 1. Mungu na atufadhili na kutubariki na kutuangazia sisi uso wake. 2. Njia yake ijulikane duniani, wokovu wake katikati ya mataifa. 3.Mataifa na washangilie kwa furaha, maana kwa haki atawahukumu watu. 4. Watu na wakushukuru ee Mungu, na wakushukuru watu wote na wakushukuru. 5. Mungu atubariki sisi na kutuongoza, miisho yote ya dunia itamcha yeye.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa