Ingia / Jisajili

Mwimbieni Bwana Wimbo

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 215 | Umetazamwa mara 620

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mwimbieni Bwana Wimbo (Wimbo) Wimbo mpya n chi yote heshima na adhama (zimo ) zimo mbele zake x2.(1).Heshima na adhama ziko mbele zake nguvu na uzuri zimo patakatifu pake.(2).M peni Bwana enyi jamaa za watu mpeni Bwana utukufu na nguvu..(3).Utukufu na ukuu Bwana una yeye una yeye una yeye hata milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa