Ingia / Jisajili

Mpigie Mungu Kelele

Mtunzi: Emanuel Chisunga Kasebe
> Mfahamu Zaidi Emanuel Chisunga Kasebe
> Tazama Nyimbo nyingine za Emanuel Chisunga Kasebe

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Emanuel Kasebe

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Mpigie Mungu Kelele za shangwe nchi yote imbeni utukufu wa jina lake

1. Tukuzeni sifa zake Tukuzeni sifa zake Tukuzeni sifa zake Aleluya

2. Mwambieni Mungu matendo yako yanatisha kama nini adui zako watakunyenyekea

3. Nchi yote itakusudia na kukuimbia jina lako jina lako.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa