Mtunzi: Bategereza
> Tazama Nyimbo nyingine za Bategereza
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,009 | Umetazamwa mara 3,409
Download Nota Download MidiMsihuzunike kama wale wasio na matumaini ya uzima ujao x 2 : Maana twasadiki wale walio lala katika Kristu Yesu Mungu atawaleta pamoja naye x 2.
Mashairi:
1. Tazameni mfano wa mbegu kuzikwa na kisha kuota.
2. Kristu alikufa na kisha akafufuka mfano wa wazi.
3. Amekufa mwili bali roho yake iko kwake Bwana.
4. Siku itafika tutakutana naye uso kwa uso.
5. Farijianeni kwa maneno haya nanyi mtaishi.