Mtunzi: Bategereza
> Tazama Nyimbo nyingine za Bategereza
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,127 | Umetazamwa mara 5,151
Download Nota Download Midi1. Sakramenti Kubwa hii twaiheshimu kifudi, na sheria ya zamani ikomeshwe na hiyo, Yafichika yo machoni, imani hu yaona, yafichika yo machoni imani hu yaona.
2. Mungu Baba, Mungu mwana, asifiwe kwa shangwe, kwa heshima atukuzwe pia aabudiwe, Mungu Roho Mtakatifu, vile sifa aapate,, Mungu Roho Mtakatifu, vile sifa apate, Amina