Mtunzi: Finias Mkulia
> Mfahamu Zaidi Finias Mkulia
> Tazama Nyimbo nyingine za Finias Mkulia
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: FINIAS MKULIA
Umepakuliwa mara 206 | Umetazamwa mara 1,428
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Msihukumu nanyi hamtahukumiwa msilaumu nanyi hamtalaumiwa
achilieni nanyi mtaachiliwa.
MASHAIRI
1.Wapeni watu vitu nanyi mtapewa kipimo cha kujaa nashindiliwa na kusukwasukwa
hata kumwagika.
2.Ndicho watu watu watakachowapa kifuani mwenu kwa kuwa kipimo kilekile mpimacho
ndicho mtakachopimiwa.