Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download NotaMSINILILIE MIMI
Enyi binti za Yerusalemu msinililie mimi, jililieni, jililini ninyi na watoto wenu x2
1. Kwa maana tazama, watakuja kusema, heri walio tasa, nao wasiozaa