Ingia / Jisajili

Mtu Hataishi Kwa Mkate

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Emmanuel Mwita

Umepakuliwa mara 5,821 | Umetazamwa mara 10,099

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka A
- Shangilio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka B
- Shangilio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka A
- Shangilio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka B
- Shangilio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                        MTU HATAISHI KWA MKATE

(Mtu hataishi kwa mkate) Mtu hataishi kwa mkate kwa mkate peke yake;

Ila kwa kila neno litokalo kinywani mwa Mungu x2

1. Nawe uzishike amri za Bwana, upate kwenda katika njia zake Bwana.

2. Mkate washibisha mwili wako, Roho yako yashibishwa na Neno la Bwana.

3. Msihangaike na mambo ya dunia, lishike kwanza Neno la Bwana Mungu wako.

4. Neno lake Bwana likuongoze, ili uweze kupata uzima wa milele.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa