Ingia / Jisajili

Nitaimba Sifa Zake

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 97 | Umetazamwa mara 140

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Nitaimba nitaimba sifa zake, nitaimba sifa zake Mungu wangu//2 Nitamsifu Bwana siku zote za maisha yangu//2. 1.Nitaziimba sifa zake Mungu wangu siku zote za maisha, za maisha yangu. 2.Mungu hunifadhili na kuniokoa, sifa zake zi kinywani mwangu daima. 3.Yeye ni kinga yangu, ndiye ngao yangu, Mungu ndiye ngome yangu na uzima wangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa