Ingia / Jisajili

Vijana Tulijenge Kanisa

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 128 | Umetazamwa mara 215

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
VIJANA TULIJENGE KANISA Vijana wa kikristo tuwajibikeni tusimame imara tufanye kazi tulijenge kanisa, tuilinde na imani yetu kwa kulijenga kanisa, kanisa la Mungu, Taifa la Mungu latuhitaji sisi vijana ambao watu wakituona waone sura ya Mungu, tuboreshe mienendo yetu ni silaha halisi, sote kwa wema tuzitafakari fadhili za Bwana anazotumiminia siku kwa siku, Ushujaa wetu katika imani utuimarishe kulijenga kanisa naye roho mtakatifu atuangazie, tufumishe mapendo furaha na amani tulijenge kanisa,, tulijenge kanisa lake Mungu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa