Ingia / Jisajili

Bwana Ni Mwema

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 41 | Umetazamwa mara 68

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 27 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 27 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 27 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana ni mwema kwa hao wamngojeao kwa hiyo nafsi imtafutayo imtafutayo X2

1. Ni vema mtu autarajie wokovu wa Bwana na kuuongojea kwa utulivu

2. Ni vema mwanadamu aichukue nira wakati wa ujana wake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa