Ingia / Jisajili

Wewe Bwana Umekuwa Makao Yetu No.2

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 327 | Umetazamwa mara 535

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 23 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wewe Bwana umekuwa makao yetu (kizazi) kizazi baada ya kizazi baada ya kizazi X2

1. Wamrudisha mtu mavumbini usemapo rudini enyi wanadamu maana miaka elfu machoni pako ni kama siku ya jana ikiisha kupita na kama kesha kesha la usiku

2. Wawagharikisha huwa kama usingizi asubuhi huwa kama majani yameayo asubuhi yachipuka na kumea asubuhi yachipuka na kumea jioni yakatika na kunyauka

3. Basi utujulishe kuhesabu siku zetu tujipatie moyo wa hekima Ee Bwana urudi hata lini Ee Bwana urudi hata lini uwahurumie watumishi wako

4. Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote na uzurinwa Bwana Mungu wetu uwe juu yetu na kazi ya mikono yetu uithibitishe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa