Ingia / Jisajili

Mungu Wa Israeli Awaunganishe No.2

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ndoa | Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 387 | Umetazamwa mara 956

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mungu wa Israeli (Mungu) awaunganishe naye awe nanyi mkae wawili daima na milele X2

1. Bwana awapelekee msaada kutoka patakatifu pake na kuwategemeza toka Sayuni

2. Yeye awajalie kwa kadiri ya haja ya moyo wenu na kuyatimiza mashauri yenu yote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa