Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 356 | Umetazamwa mara 865
Download Nota Download Midi1. Kristo amefufuka kweli kweli aleluya utukufu na ukuu una yeye hata milele una yeye hata milele
2. Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana tutashangilia pia kuifurahia pia kuifurahia3. Kristo Pasaka wetu amechinjwa sadaka tuile karamuye na tuimbe aleluya na tuimbe aleluya