Ingia / Jisajili

Mfalme Mtukufu No.2

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 75 | Umetazamwa mara 123

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mfalme mtukufu apate kuingia yeye ndiye mfalme mfalme mtukufu X2

1. Nchi na vyote viijazaavyo ni mali ya Bwana dunia na wote wakaao ndani yake. maana ameiweka misingi yake juu ya bahari na juu ya mito ya maji aliithibitisha

2. Ni nani atakayepanda katika mlima wa Bwana ni nani atakayesimama katika patakatifu pake mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe asiyeiinua nafsi yake kwa ubatili

3. Atapokea baraka kwa Bwana na haki kwa Mungu wa wokovu wake hiki ndicho kizazi cha wamtafutao wakutafutao uso wako Ee Mungu wa Yakobo

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa