Ingia / Jisajili

Bali Mimi Niutazame Uso Wako

Mtunzi: Bavon Christopher Kitamboya
> Mfahamu Zaidi Bavon Christopher Kitamboya
> Tazama Nyimbo nyingine za Bavon Christopher Kitamboya

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Bavon Christopher

Umepakuliwa mara 525 | Umetazamwa mara 959

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Bali mimi, nikutazame uso wako, katika haki, Niamkapo nishibishwe kwa sura yako x2 Viimbilizi: 1.Ee Bwana usikie haki, ukisikilize kilio changu, utege sikio lako kwa maombi yangu, yasiyotoka katika midomo ya hila. 2.Hukumu yangu naitoke kwako, macho yako na yatazame, mambo ya adili.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa