Mtunzi: Alcado Z . Mtanduzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Alcado Z . Mtanduzi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 391 | Umetazamwa mara 2,051
Download Nota Download MidiMuumba wa nyota za usiku mwamba wa milele mkombozi na mfalme wetu masiya utusikie mkombozi wetu tukuitapo, kwa mwili wa Maria ulikuja tuokoe dhambini na katika aibu ewe masiya mkombozi utupeleke rahani milele.
Mashairi:
1. Haya Emanueli ufike ewe muumba wa nyota mwanga wa milele uje utuokoe.
2. Mahali pote ondoa giza kwa nyota ulizoumba mwanga utawale hadi nyoyoni wetu.
3. Na siku ya hukumu ya mwisho tutakapofufuliwa mwanga wa milele tupeleke rahani.
4. Na roho ulizo ziangaza ziufikie wokovu ziishi na kufurahi milele yote