Mtunzi: Alcado Z . Mtanduzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Alcado Z . Mtanduzi
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 823 | Umetazamwa mara 2,882
Download Nota Download MidiWadamu sasa tunakwenda wapi mbona shetani ametutawala/, Tunahangaika naya ulimwengu, na kunisahau Mungu muumba / Tumekosa maadili tumefuata yadunia tumrudie Mungu, Tujirudi tufuate maagizo yake Mungu kwetu wanadamu.
Mashairi:
1. Uasherati ulevi na utoaji wa mimba uvutaji bangi ubwiaji wamadawa ya kulevya yanapingana na maagizo yake Mungu.
2. Ndoa za jinsia moja ni kumkufuru Mungu, pia zinapingana na mpango wake Mungu wa uumbaji Mungu aliyeweka ndoa ya mume na mke.