Mtunzi: Alcado Z . Mtanduzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Alcado Z . Mtanduzi
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,954 | Umetazamwa mara 5,632
Download Nota Download MidiAleluya Aleluya twimbe Aleluya x 2. Bwana Yesu Kristu amefufuka ametoka ni mzima x 2. Tufurahie sote twimbe Aleluya x 2.
Mashairi:
1. Bwana Yesu Kristu kweli kafufuka ametoka yu mzima twimbe aleluya.
2. Bwana wa mabwana mfalme wa wafalme atawala milele twimbe aleluya.
3. Kwa mateso yake sisi tumepona tumeshakombolewa twimbe aleluya.
4. Tuungane naye Bikira Maria tukiimba chereko Bwana kafufuka.