Ingia / Jisajili

Mwaka Mpya

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 13 | Umetazamwa mara 22

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Leo ni siku mpya, mwezi mpya, ni siku ya mwaka mpya imeonekana leo ni furaha kuiona siku hii ya mwaka mpya tunamshukuru Mungu wetu mwema Mungu mwenye rehema nyingi kwa kutujalia kuuona mwaka mpya.

1.Tazama ukuu wake Mungu umeonekana kwa watu wake aliowaumba

Happy new year Happy new year, heri ya mwaka mpya, Happy new year - Mungu ametuvusha salama Happy new year


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa