Mtunzi: Vitalis J. Mwinyi
> Mfahamu Zaidi Vitalis J. Mwinyi
> Tazama Nyimbo nyingine za Vitalis J. Mwinyi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: VITALIS MWINYI
Umepakuliwa mara 728 | Umetazamwa mara 2,450
Download NotaKiitikio
Bwana, Bwana utuinulie uso wako, Bwana twaomba, tuinulie, tuinulie nuru ya uso wako.
Mashairi
1. Ee Mungu wa haki yangu, niitikie niita po; umenifanyizia nafasi wakati wa shida; unifadhili na kuisikia sala yangu.
2. Bali jueni ya kuwa Bwana ya kuwa amejiteulia mtauwa. Bwana wangu atasikia nimwitapo
3. Wengi husema ninani atatuonesha, atatuonesha mema?Bwana twaomba utuinulie uso wako.
4. Katika amani nitapata usingizi, maana wewe Bwana, Bwana peke yako, ndiwe unijaliaye kukaa salama.