Mtunzi: Frt. John W. Nsenye Sds
                     
 > Mfahamu Zaidi Frt. John W. Nsenye Sds                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Frt. John W. Nsenye Sds                 
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Frt.John Nsenye
Umepakuliwa mara 706 | Umetazamwa mara 2,678
Download Nota Download MidiMSIFUNI BWANA
Aleluya aleluya aleluya aleluya msifuni Bwana x2
huwaponya waliopondeka huwaponya waliopondeka moyo x2
1. (a) Ma a na ni vema, kumwimbia Mu ngu wetu
(b) Ma' na kwa pende za, ku si funi ku zuri.
2.(a) Bwanandiye ajengaye, a je nga ye Yerusalemu
(b) Huwa ku sa nya wo te, walio tawanyika
3.(a) Bwa - na ni m ku u, na ni mwingi wa - ngu vu
	    (b) A - kili -  zake,  hazina -   mi pa ka